Mama. Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Mama Nakupenda
Aaaah
Tunakuimbia na wimbo
Mama mama
Mama mama ea
Eeh eeh eeh
Mama mama
Mama mama ea
Mama
Huu wimbo ni wa nani
Huu wimbo ni wa mama
Na hii siku ni ya nani
Hii siku ni ya mama
Huu wimbo ni wa nani
Huu wimbo ni wa mama
Na hii siku ni ya nani eeh
Hii siku ni ya mamaaa eh
Tumekuja kufurahi pamoja
Kuzaliwa kwa mama
Kumetuleta pamoja
Maana kwa upendo
Mama unaongoza
Tukikupa namba
Mama we namba moja
Uzuri wako unazidi
Maneno ya wengi
Maneno yako ya busara
Kwangu ndio msingi
Ni zawadi gani unayostahili
Ya kulinganishwa na zako fadhili
Ni zawadi gani unayostahili ma'
Ya kulinganishwa na zako fadhili
Hakuna
Huu wimbo ni wa nani
Huu wimbo ni wa mama
Na hii siku ni ya nani
Hii siku ni ya mama
Huu wimbo ni wa nani
Huu wimbo ni wa mama
Na hii siku ni ya nani eeh
Hii siku ni ya mamaaaa eh
Tuende kushoto
Tuende kushoto
Tuende kushoto
Turudi kulia
Turudi kulia
Turudi kulia
Tuende mbele
Nyuma
Mbele
Nyuma
Àaah eeeh
Tuende kushoto
Tuende kushoto
Tuende kushoto
Turudi kulia
Turudi kulia
Turudi kulia
Tuende mbele
Nyuma
Mbele
Nyuma
Huu wimbo ni wa nani
Huu wimbo ni wa mama
Na hii siku ni ya nani
Hii siku ni ya mama
Huu wimbo ni wa nani
Huu wimbo ni wa mama
Na hii siku ni ya nani eeh
Hii siku ni ya mamaaaa eh
Mama mama
Mama mama ea
Eeh eeh eeh
Mama mama
Mama mama ea
Mama
Mama mama
Mama mama ea
Eeh eeh eeh
Mama mama
Mama mama ea
Mama
Mama mama
Mama mama ea
Eeh eeh eeh
Mama mama
Mama mama ea
Mama