NIMESAMEHEWA Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Ah!
Je suis pardonné
Hahaha
Mhm yeeh eeih ahh
Mapenzi yake kwangu ni ya milele lelelele
Kama nimesimama leo najua
Ni nguvu ya msalaba
Ehehe nimesimama leo najua
Ni nguvu ya msalaba
Kama nimesimama leo najua
Ni nguvu ya msalaba
Ehehe nimesimama leo najua
Ni nguvu ya msalaba
Nilikua na ubaya tena sana eh
Nilitenda mabaya usiku na mchana
Sikustahili rehema zake eh
Sikustahili huruma zake eh
Aliibeba aibu ya msalaba nipone
Kaniondolea upofu ili mi nione
Upendo na huruma zake
Aeh ayayayaya yayaeh
Upendo na uzuri wake
Haulinganishwi na mwingine nime
Nimesamehewa
Nimesamehewa
Hivi unavyoniona
Sina makosa sina makosa
Kama nimesimama leo najua
Ni nguvu ya msalaba
Ehehe nimesimama najua
Ni nguvu ya msalaba
Kama nimesimama leo najua
Ni nguvu ya msalaba
Ehehe nimesimama leo najua
Ni nguvu ya msalaba
Alibeba ulimwengu wote
Mabegani mwake
Najua atanibeba tu
Ubaya uovu lawama na dhambi
Ameniondolea
Amenipa moyo safi jamani
Anaishi ndani yangu
Yeye ndiye Bwana
Na Mokozi wa maisha yangu
Upendo na uzuri wake
Haulinganishwi na mwingine yoh..
Upendo na uzuri wake
Haulinganishwi na mwingine
Nimesamehewa
Nimesamehewa
Nimesamehewa
Hivi unavyoniona
Sina makosa sina makosa
Kama nimesimama leo najua
Ni nguvu ya msalaba
Ehehe nimesimama najua
Ni nguvu ya msalaba
Kama nimesimama leo najua
Ni nguvu ya msalaba
Ehehe nimesimama leo najua
Ni nguvu ya msalaba
Hehehe
Unajua nacheka kwanini
Nafuhia kwasababu nimesamehewa
Niko huru kabisa niko huru
Acha nimchezee Mungu wangu amenisamehe
Nacheza najua
Alikonitoa
Nacheza naelewa
Amenitoa mbali mbali
Amenitoa mbali
Yeh eh eh
Nimesamehewa
Nafurahi
Nimesamehewa
Nafurahi
Nimesamehewa
Nafurahi
Nimesamehewa
Nimesamehewa
Nafurahi
Nimesamehewa
Nafurahi
Nimesamehewa
Nafurahi
Nimesamehewa
Nguvu ya msalaba
Mimi simkamilifu
Nimesamehewa tu.