Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2022

Lyrics

Vumilia vumilia

Ni mapito tu


Mbona mama unalia ae

Machungu mengi moyoni sana ae

Hayo yote ni kwa mda kesho yatakuwa shwari


Vumilia hayo yote ni mapito tu uu

Acha lawama mambo yatakuwa shwari ii

Vumilia hayo yote ni mapito tu mwana

Acha lawama mambo yatakuwa shwari ii


Maisha tuishi kushukuru bila lawama tusije tukakonda

Hali ngumu shida na dhiki kwa imani lazima utashinda mwana

Karo kazi umekosa ae

Hauna hata pa kwenda

Oh maono lazima yatimie ali weh omba kwa saana ae

Ona kule umetoka ae

Ona vile una afya mwana

Hata tena unaishi licha ya shida yafaa shukrani

Na wengi wangetamani kuona ae

Wangetamani kuishi mwana

Hali yako ya mda licha ya umri na utabarikiwa ae


Vumilia hayo yote ni mapito tu uu

Acha lawama mambo yatakuwa shwari ii

Vumilia hayo yote ni mapito tu mwana

Acha lawama mambo yatakuwa shwari ii


Haijalishi hulkako toka zama zile kubarikiwa ae

Oh maskini na tajiri kuzaliwa kwake nasema so ajali eih

Kwako Yesu kusalamaaa aaa ooh ooh

Baraka zake zi imara aa ooh ooh

Awekaye imani kwake yeye atashinda maana ae

Ayubu alivumilia mwisho akashinda mwana ae

Ona kule umetoka ae

Ona vile umeishi mwana

Ushuhuda unao paza sauti na imba nimeshinda aaa aaa


Vumilia hayo yote ni mapito tu uu

Acha lawama mambo yatakuwa shwari ii

Vumilia hayo yote ni mapito tu mwana

Acha lawama mambo yatakuwa shwari ii


Vumilia aah aaah aahaaa

Acha lawama mwana aaa aaa aa

Ona mimi nimeshinda ae

Hata wale wakashinda ae

Daudi pia alishinda pia nawe natabiri utashinda ae


Vumilia hayo yote ni mapito tu uu

Acha lawama mambo yatakuwa shwari ii

Vumilia hayo yote ni mapito tu mwana

Acha lawama mambo yatakuwa shwari ii


Ayayayah

Mapito tu

Acha lawama wee

Oh vumilia


Vumilia

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234
          -You can log in via below methods-
          Reset password via e-mail
          -or-
          Reset password via e-mail
          Feedback on resetting password
          * It may take a longer time

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status