Dosari Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Iyelele yelelele
Iyelele yelelele na matendo yangu yakuvutie we
Moyo wangu unadunda duh, dududududu
Bashasha kazidi tatizo oo tatara tarara
Acha sauti iperembe ee eeih eih eeih
Yesu dosari niondolee huakiki wa taji
Ona vile na nawiri ju yako naringa
Shida na tabu kaniondolea ae sifako naimba
Mitego kunitengulia kichwa so mkia kunitinga ae
Muwasho mfano wa pilipili maisha ya jadi kumbukumbu
Eeei Yesu we unatosha princes zote unapiku ee
Onana mishirizi ya raha mi inanifanya niimbe ee
Moyo wangu unadunda duh, dududududu
Bashasha kazidi tatizo oo tatara tarara
Acha sauti iperembe ee eeih eih eeih
Yesu dosari niondolee huakiki wa taji
Maisha ya mkristo kajawa na dosari ii
Ijapokuwa tumewekwa huru tunabebana na dhabi ii
Kinyongo vitina chuki naona kuna shida ae ye
Uzizi uongo mengi hakika ya sheheni ei
Liwe kidogo ilo dhambi hata kwa mapambo mmh
Ninarudi nisamehe
Dhambi niondolee
Dosari iniondokee na usawa kunigeza
Ufalme wako Yesu
Nipate ridhi uwouuh
Moyo wangu unadunda duh, dududududu
Bashasha kazidi tatizo oo tatara tarara
Acha sauti iperembe ee eeih eih eeih
Yesu dosari niondolee huakiki wa taji
Iyelele yelelele
Iyelele yelelele
Na matendo yangu yakuvutie we (Navyote vilivyo ndani)
Iyelele yelelele
Iyelele yelelele
Na mawazo yangu yakupendeze (Mimi mwanawe)
Uzima ni raha aa
Kukosa karaha aa
Yesu naja aa
Kwako unifanye mwana
Moyo wangu unadunda duh, dududududu
Bashasha kazidi tatizo oo tatara tarara
Acha sauti iperembe ee eeih eih eeih
Yesu dosari niondolee huakiki wa taji