![NIBARIKI](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/23/c2dbcd9d54ab4c7caeb529847e2c95ca_464_464.jpg)
NIBARIKI Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Uuu uuh
Uuu uuuh
Uuu uuh
Uuu uuuh hih
Uuu uuh
Uuu uuuh
Uuu uuh
Uuu uuuh
Nibariki nibariki tantara tararaah eeih
Nibariki nibariki tantara tararaah eeih
Wakiniangalia aah hiih niwe nang'aria aah hiih
Msimu wa usawa na waridi tantara tararaah hih
Utamu wa tende kumumunya ubuheri baraka umenibwagia
Lalama pasiwe kidotio sifa sufufu Yesu umenitendea
Ila mi nina madogo yanawasha ka donda aa
Ila mi nina madogo yanawasha ka donda aa
Shida shida shida zimenichanga uu uuh uuu eti
Tabu deni dhiki kunikoroga
Ili sala zigatia ae
Nibariki nibariki tantara tararaah eeih
Nibariki nibariki tantara tararaah eeih
Wakiniangalia aah hiih niwe nang'aria aah hiih
Msimu wa usawa na waridi tantara tararaah hih
Mzabibu ukolee zabibu chini kutone eeh
Wagonjwa baba na wapone wote wasifu
Wanamroroa tasa maarabu mpe asifu eeih
Maskini amechanganyikiwa sana o nanana
Tulio chini kachanganyikiwa zaidi hih
Parivartan mtindo ata si tule na pweza uu uuh
Nibariki nibariki tantara tararaah eeih
Nibariki nibariki tantara tararaah eeih
Wakiniangalia aah hiih niwe nang'aria aah hiih
Msimu wa usawa na waridi tantara tararaah hih
Baraka kumiminika iih miminika miminika oh oh
Walio chini inua inua baba inua ah ah
Walo solo wachumba iih uwape baba uwape eh
Na zahanati wapone wapone iih baba wapone
Maombi ya mwanao kilio ngeuza kicheko hih
Season iwe now vidaka vitokee ata kwa mnazi woh woo
Nibariki nibariki tantara tararaah eeih
Nibariki nibariki tantara tararaah eeih
Wakiniangalia aah hiih niwe nang'aria aah hiih
Msimu wa usawa na waridi tantara tararaah hih
Oooooooohh
Ninang'aria aah
Nibariki oooh oooh oooh oooh
Tantara tararaah
Mhhh nibariki