Sio Easy Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Sio Easy - Chatta (TZ)
...
INSTRUMENTAL
"it's Nexzaz baby"
INSTRUMENTAL
VERS
Maumivu yametujenga Since day One
Tuishi maisha yetu Focus isitoke kichwani
zamani kua doctor ilikua plan
saiv ndoto yangu anaishi mtoto wa jirani
love ipo ila complicated
Utu uzima sio kuficha nyeti
wanangu tushazika kisa stress
life la bongo nyoso wenye nguvu ndio wanaket
magetoni mguu autoki bila dua
sipigwi Radion daily napigwa na jua
sifa aziishi mtaani oya mwana unajua
kuna wengine wanatamani bora Mungu Angenichukua
nachokifanya ndio kinaninyima usingizi
navingi vya ku achieve we nione chizi
i feel my self when i think about my family
tulipo lala njaa na mama aikua EASY!
Chorus
SIO EASY BRO!
(kwenye njaa alituponya ,ilikua ndoto sembe amadona
DON'T TAKE IT EASY BRO
(kwenye giza alituona , tulipo ugua yeye ndie alie tuponya )
SIO EASY BRO!
(kwenye njaa alituponya ,ilikua ndoto sembe amadona
DON'T TAKE IT EASY BRO!
(kwenye giza alituona , tulipo ugua yeye ndie alie tuponya )
Vers 2
Hakuna alie wish iwe ivi
msosi watabu kila dakika ni maangamizi
wenyenacho wakataka tuwa please
naukitubu mbele yao bado maisha sio Easy!
wazazi waliamini kwenye future
ila baada ya cha four school tena sikugusa
nikweli niliwaangusha nilipo pata zero
ila muda haujanitupa am gonna be hero
Natafuta kwenye mvua kwenye jua
najua ukifika muda wangu mlango wangu utafungua
baba GOD ! Nisamehe kwa dhambi ya kujichua
wanawake wanataka hela ila bado sijabutua
nachokifanya ndio kinaninyima usingizi
navingi vya ku achieve we nione chizi
i feel my self when i think about my family
tulipo lala njaa na mama aikua EASY!
Chorus
SIO EASY BRO!
(kwenye njaa alituponya ,ilikua ndoto sembe amadona
DON'T TAKE IT EASY BRO
(kwenye giza alituona , tulipo ugua yeye ndie alie tuponya )
SIO EASY BRO!
(kwenye njaa alituponya ,ilikua ndoto sembe amadona
DON'T TAKE IT EASY BRO!
(kwenye giza alituona , tulipo ugua yeye ndie alie
tuponya )
INSTRUMENTAL
SIO EASY BRO!
DON'T TAKE IT EASY BRO
PROD BY @NEXSAZY
MIXING AND MASTERING BY @CUKIEDADY
THANK YOU FOR YOU SUPPORT