Sina Shaka ft. Adam Berry Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2023
Lyrics
Sina Shaka ft. Adam Berry - Chatta (TZ)
...
First time nakuona uli blow my mind Girl uli blow my mind Nilipenda jinsi ulivyo nikaona kiumbe ambae Ntampa upendo wangu tu till idie Jah kanionesha , now na nenepa Nakuhitaji bila we nahisi ntateseka Umenitua strees , mgonjwa kwa nesi True love hakuna wa kureplace Hakuna kitu unamiss basi mayooh, We Nichanganye wengine nahisi badooh, Ni wa moto ukidress baby mama, Haunaga limit. Ni wa moto ukinishika baby mama,utamu wako no humidity. Sina shaka , sina shaka Na wewe Mi sina shaka ,sina shaka Na wewe Girl you know that i need you right Girl you know you're the best for life Girl you know you're sweet and nice Girl you know unanikosha oh Nana nah Turn your body show me alicho kupa mama Oh na nanah Nidikeze kipenzi maana tusha ivana Hakuna kitu unamiss basi mayooh, We Nichanganye wengine nahisi badooh, Ni wa moto ukidress baby mama, Haunaga limit. Ni wa moto ukinishika baby mama,utamu wako no humidity. Sina shaka sina shaka Na wewe Mi sina shaka sina shaka Na wewe Somebody daughter anataka ndoa Hakuna shaka amepata wakumuoa U and i Sweet pie ntafanya vyote tu mama ufurah Somebody daughter anataka ndoa Hakuna shaka amepata wakumuoa U and i Sweet pie ntafanya vyote tu mama ufurah Sina shaka , sina shaka Na wewe Mi sina shaka ,sina shaka Na wewe