Unachezaje ft Joga Beat Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Unachezaje ft Joga Beat - Chatta (TZ)
...
Beat killer...
(CHORUS ) JOGABEAT
Aaah Unachezaje, Ukilewa unachezaje
wanachezaje
uuunachezaje, nione unachezaje
mmmmhh aah unachezaje
aaaah unachezaje x2
( Vers 1 ) CHATTA
ulivyo Waka Leo, umependeza sana
naulivyo Cute ,Cute, Cute Umenibamba sana
hakuna Story leo, Mwendo wa vileo
Naunavyo kata kata Me nakupa Vyeo
Eh Eh Mr Dj Fanya kama una replay
Viuno vyote viwe busy
eh eh mr Dj "We rusha mangoma"
viuno vyote viwe Busy "Wanakata kinoma"
( Bridge ) JOGABEAT
mmmh my baby baby umenipa Raha
my'baby umeniweza umeniweza
mmmh my Baby baby unanipa raha
my'Baby My'Baby baby
(CHORUS ) JOGABEAT
Aaah Unachezaje, Ukilewa unachezaje
wanachezaje
uuunachezaje, nione unachezaje
mmmmhh aah unachezaje
aaaah unachezaje x2
Beat ..
CHATTA
wameinama wameinuka kimewapata kidude
kimewapanda kimewashuka kime wanasa kidude x2
JOGABEAT
My baby, my baby , my baby , my baby
mmh my baby my darling
umeniwezaaaaaaa
(CHORUS ) JOGABEAT
Aaah Unachezaje, Ukilewa unachezaje
wanachezaje
uuunachezaje, nione unachezaje
mmmmhh aah unachezaje
aaaah unachezaje x2
Unachezaje -Chatta Feat Jogabeat
Producer By - Jogabeat
Unachezaje Availabe On Youtube !
*youtu.be/L-8vJEIgikY
follow Us On Social Media as
@iam_chatta_ On Instagram
chatta Rhymes On Facebook
Jogabeat On Instagram !