
Mungu Wangu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2019
Lyrics
Mungu Wangu - MAGENA MAIN MUSIC MINISTRY
...
Mungu wangu mbona umeniacha,
mbona umbali na kuugua kwangu Bwana,
wote wao niona hunicheka,
nakulilia nakusihi unijibu x2
chorus
Najua mtetezi wangu Yu hai kamwe sitakataa tamaa,
aijua njia niendayo ataniongoza milele,
akisha nijaribu tatoka dhahabu baada
ya dhiki nitamwona mumba wangux2
Mashtaka yangu,Yana uchungu mwingi,laiti ningefika kwa muumba wangu,hakika ningenena na Mwenyezi Mungu,ningeliweka Dua langu mbele yake x2
chorus
Najua mtetezi wangu Yu hai kamwe sitakataa tamaa,
aijua njia niendayo ataniongoza milele,
akisha nijaribu tatoka dhahabu baada
ya dhiki nitamwona mumba wangu X2
Neema za wapokonyi zafaniki kwa baba,
waasi nao kunawiri Bwana,
mipango za wenye dhambi nayo kunawiri,
basi tumaini langu liko wapi?
chorus
Najua mtetezi wangu Yu hai kamwe sitakataa tamaa,
aijua njia niendayo ataniongoza milele,
akisha nijaribu tatoka dhahabu baada
ya dhiki nitamwona mumba wangux2