
Nakasa Mwendo
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Nakasa Mwendo - Msanii Music Group
...
Sauti ya mtu aliye nyikani tengeneza mapito yako maana muda nao umekwisha aah yesu sasa yu karibu kuchukuwa wake kwenda nao juu mbinguni kuurithi uzimaaaa ni wale wenye subira imani nayo maombiii wenye kusoma neno na moyo wa upendooo hao ndio tu watakao muuona Yesu akishuka nalo jeshi kubwa la utukufu
nakaza mwendooo
(CHORUS)
Nakaza mwendo(mwendo)niwemo pale nikamuone mwokozi wanguuu anasa zote nmeziacha natazamia ufalme wake×2
..............
Ya dunia yote yaliopota fedha magari na majumba anasa vyeo na fahari tutaviwacha dunia ni heri kuweka hazina yako kwake bwana Mungu ambako ni mbing
uniii ambako kutu hawawezi hawawezi kuingia pale. Yatufaa umtazame Mungu upambane uyaache yote punde Yesu atakuja utukufu kutuchukuwa tutatenda tutaishi naye paradiso mji wa amani fanya hima ndugu usikose usikose paleee
(CHORUS)
Similar Songs
More from Msanii Music Group
Listen to Msanii Music Group Nakasa Mwendo MP3 song. Nakasa Mwendo song from album Tupendane is released in 2022. The duration of song is 00:04:33. The song is sung by Msanii Music Group.
Related Tags: Nakasa Mwendo, Nakasa Mwendo song, Nakasa Mwendo MP3 song, Nakasa Mwendo MP3, download Nakasa Mwendo song, Nakasa Mwendo song, Tupendane Nakasa Mwendo song, Nakasa Mwendo song by Msanii Music Group, Nakasa Mwendo song download, download Nakasa Mwendo MP3 song