![Siweziamini](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/16/db843180ad7b462dae6e45c26f5be907H3000W3000_464_464.jpg)
Siweziamini Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Siweziamini - White Doves Ministry
...
SIWEZI AMINI Stanza 11. Siwezi amini amefufuka toka kaburini na sasa yuko Yerusalemi , ni jambo la kushangaza sana (lazima nione alama ndipo nitaamini amefufuka) ×2 CHORUS: Mwanakondoo ndiye kafara ya mwisho kwa ulimwenguni kwa kifo chake sisi twahesabiwa haki atukuzwe×2 Stanza 2. [SOLO] Nina ujumbe kwa ulimwengu, Bwana alifufuka yu hai tena, [All] Ewe Tomaso imarisha imani, imani yako, na uamini kwamba Mwokozi ndiye mkombozi.