![Sema Neno](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/06/e666cf555d0540f0838060b5fa549bc0_464_464.jpg)
Sema Neno Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2019
Lyrics
Sema Neno - White Doves Ministry
...
1. (Sema) sema neno bwana sema Leo
jinsi ulivyosema zamani
Bwana tupe roho tupate pona
utuepushe na maovu yote
sisi wanyonge tena wadhaifu hatuwezishindana na ibilisi
neno lako ndilo nguzo kwetu bwana sema Leo *2
refrain
Bwana sema nasi leo mapepo yote yatoroke
vipofu pia waweze ona wafu nao waweze fufuka viwete nao wapate tembea
Kwa neno lako takatifu
Bwana tupe meno lako liwe nguzo kwetu *2
2. Kwa neno lako vyote viliumbwa kwa neno lake vyote vikawa kwa neno lako milango ya gereza ikafunguka wana wako watoka
neno hili twalihitaji leo sisi wafungwa kwa minyororo ya shetani tuwe huru kwa neno lako bwana *2