![Siku Moja](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/16/db843180ad7b462dae6e45c26f5be907H3000W3000_464_464.jpg)
Siku Moja Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Siku Moja - White Doves Ministry
...
1. Siku moja katika hekalu lako ni bora kuliko siku elfu na elfu katika shughuli zangu, nami ningependa niwe bawabu katika hekalu lako kuliko kuishi katika hema za uovu. Chorus: Basi niongoze kila siku Bwana nionyeshe wema na fadhili zako, unifunze Bwana unielekeze, ili niwe mtumishi kwa wanaokuitaji Bwana... 2. Bwana kwa hakika umetenda mema katika maisha yangu siwezi legea kuimba sifa zako Bwana... Nami nahitaji uwepo wako katika maisha yangu niweze kuishi katika hema za wokovu×2