
Nijaze Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Nijaze - John Lisu
...
.....................
.................
kama nchi kavu inavotamanii majiii bwanaaaaaa
na moyo wangu wakutamanii wakutamanii bwanaaaa
ohw ohwoo ohwo ohwoo ohwoo bwanaaa
kama umandee
kama umandee uangukao asubuhi uninyeshee mvua yako yesu nakuhitaji nakuhitaji bwanaaa kama umandee uangukao asubuhi uninyeshee mvua yako yesuu nakuhitaji bwanaaa
..........
nina kui nawe
nina kui nawe Sina mwinginee wakunitosheleza
nina njaa
nina njaa nawe Sina mwinginee wakunishibisha
katika uwepo wakoo Kuna uzimaa
katika uwepo wakoo Kuna utoshelevu yesuu nakuhitaji
yesu wewe ni Kila kitu kwangu
yesu nakuhitaji
yesu nakuhitaji
wew ni Kila kitu kwangu
nijaze nijaze nijaze nguvu zako
nijaze nijaze nijaze roho wakoo
nijaze nijaze nijaze nguvu zako
nijaze nijaze nijaze roho wakoo