
Nijaze Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Nijaze - John Lisu
...
NIJAZE JOHN LISU SONG
Hebu tumuambie Yesu jinsi tunavyohitaji uwepo wake kwetu
Kama nchi kavu inavyotamani maji
Bwana aaa
Na moyo wanguu wakutamani wakutamani
Bwana Bwana Bwanaaa
ouwoouwooo
(Kama umande uangukao asubuhi uninyeshee mvua yakoo Yesu,
Nakuhitaji nakuhitaji Bwanaaa x2)
(Nina kiu nawe sina mwingine wa kunitoshelezaaa
Nina njaa naweee sina mwinginee wa kunishibishaaa x2)
Katika uwepo wakooo kuna uzimaaa
Katika uwepo wakooo kuna utoshelevuuu
Hebu inua mikono yako juu muambie Yesu ni jinsi gani unavyomuhitaji..
(Yesu uu nakuhitajiiii
Yesu uu wewe ni Kila kitu kwanguuu x2)
(Nijazee Nijazee Nijazee
Nguvu zakooo
Nijazee Nijazee Nijazee
Roho wakoo x2)
Tunahitaji nguvu zako Bwana zitakazotupeleka hatuna nyingine, tunahitaji Roho wako Bwana
(Nijazee Nijazee Nijazee
Nguvu zakooo
Nijazee Nijazee Nijazee
Roho wakoo x2)
Tujaze na Roho wako Bwana
Tujaze na uwepo wako
(Nijazee Nijazee Nijazee
Nguvu zakooo
Nijazee Nijazee Nijazee
Roho wakoo x2)
.........
.........