
Wakati Ule Wa Nuhu Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2017
Lyrics
Wakati ule wa nuhu
Watu walimuasi bwana
walitenda kila dhambiii
Wakamsahau Mungu Muumba
Walimchukiza Muumba wao
Kwa dhambi zao nyingi
Mungu Alia nuhu hakuua kiumbe chote
Mungu akamwambia nuhu kwamba afanye safina yenye vyumba afunike lami ndani na nje
Urefu wake mikono mia 300 upana wake mikono 50 kwenda juu kwake mikono 30
Naye nuhu alilijenga safina alipomaliza kaambiwa ingia na mkeo na watoto wako pia na wake zao waingie.
Mvua ilianza kunyesha bila kukatika maji yaliendelea kuongezeka kutoka kisogoni kwenda magotini kutoka magotini mpaka kifuani
Watu wakakumbuka maneno ya nuhuuuu
Alisema,wengine walipanda kwenye milimani hawakupona,wengine kupanda juu ya miti hawakupona,