![Mungu Mwenye Nguvu](https://source.boomplaymusic.com/group1/M0C/74/D7/rBEezl2a8wGASkN9AAC7UJI_nY8313.jpg)
Mungu Mwenye Nguvu Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2017
Lyrics
Mungu Mwenye Nguvu - Mapigano Ulyankulu Kwaya
...
Yesu katazama kote kote
Akawaambia wanafunzi wake
Itakavyokua shida mwenye mali kuingia katika ufalme wa Mungu
Ni rahisi ngamia kupenya katika tundu la sindano kuliko tajiri kuingia ufalme wa Mungu×2
usiwe mtumwa wa Mali nakupoteza Maisha yako×2
Mungu kamwambia mpumbavu wewe usiku wa Leo nataka roho yako
Vitu ulivoji wekea tayari
unafikiri vitakua vya nani
Ni rahisi ngamia kupenya katika tundu la sindano kuliko tajiri kuingia ufalme wa Mungu×2
usiwe mtumwa wa Mali nakupoteza Maisha yako×2
Msijiwekee hazina duniani
Nondo na kutu iharibu huko
Wezi huvunja na kuiba
Bali jiwekee hazina mbinguni
Ni rahisi ngamia kupenya katika tundu la sindano kuliko tajiri kuingia ufalme wa Mungu×2
usiwe mtumwa wa Mali nakupoteza Maisha yako×2