
Katika Viumbe Vyote Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2017
Lyrics
Katika Viumbe Vyote - Mapigano Ulyankulu Kwaya
...
Katika Viumbe vyote vilivyoumbwa
Binadamu kaumbika kuliko vyote
Katika Viumbe vyote vilivyoumbwa
Binadamu kaumbika kuliko vyote
Tumepewa masikio na macho ya kuona
Na akili ya kujua mema mabaya
Katika Viumbe vyote vilivyoumbwa
Binadamu kaumbika kuliko vyote
*********
Twatembea kwa miguu mikono yafanya kazi
Vyakula twavipika vipate kunogea
Katika Viumbe vyote vilivyoumbwa
Binadamu kaumbika kuliko vyote
*******
Vyuma vitembeavyo chini vingine juu hewani
Ujuzi huo tuliupewa na Mungu
Katika Viumbe vyote vilivyoumbwa
Binadamu kaumbika kuliko vyote
*******
Mungu katuumba kwa mfano wake
Katutofautisha na vingine
Katutofautisha na wanyama wasio na akili
Katupa kujua mema mabaya
Ili tumtambue
Mungu katuumba kwa mfano wake
Katutofautisha na vingine
Walimwengu wengu hawajui aliye mkombozi
Atakayerudi kuchukua waliomuamini
Ajabu kwao akili walipewa Hawakujua aliyewapa
"" "**" ""
Mungu katuumba kwa mfano wake
Katutofautisha na vingine
********