Ndani Ya Jina Remix Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2017
Lyrics
Ndani Ya Jina Remix - Ephraim Sekeleti
...
.. .... .... .... . hhhhhh
Na nguvu zako ziko dunia yote, walemavu kutembea
Na nguvu zako ziko dunia yote, na magonjwa yanapona
Pale msalabani, uliposulubiwa ulibeba magonjwa yootee
Ndani ya jina na damu yako imo nguvuu BWANA
Ndani ya jina na damu yako imo nguvuu BWANA iponyayo
.. .. .. ..... ... ......
Onaaa baba watoto waakoo BWANA
Mkono wako baba siyo mfupi , hapana
Tumekandamizwa vya kutosha Mambo shetani anatuibia uponyaji wetu
wooooh wooouooooh wooooh wooouooooh
Eee ndani ya jina
Ndani ya jina na damu yako imo nguvuu BWANA
Ndani ya jina na damu yako imo nguvuu BWANA iponyayo
Mmmh Iponyayo
Ooh
Lina nguvu jina lako BWANA ( Lina nguvu jina lako)
Ooh iyelele
Lina nguvu jina lako BWANA ( Lina nguvu jina lako)
Haoh iyelele
Lina nguvu jina lako baba ( Lina nguvu jina lako)
Lina nguvu jina lako baba ( Lina nguvu jina lako)
Lina nguvu jina lako
Lina nguvu jina lako
Lina nguvu jina lako babaaaaaa
Lina nguvu jina lako
Lina nguvu jina lako
Lina nguvu jina lako babaa
(iyelele aaah)
Lina nguvu jina lako BWANA ( Lina nguvu jina lako) oooh
Lina nguvu jina lako BWANA ( Lina nguvu jina lako) ooh yelele Lina nguvu
Lina nguvu jina lako baba ( Lina nguvu jina lako) oooh
Lina nguvu jina lako baba ( Lina nguvu jina lako) aaaaah
Lina nguvu jina lako
Lina nguvu jina lako( Lina nguvu jina lako)
Lina nguvu jina lako babaaaaaa( Baba jina lako Lina nguvu)
Lina nguvu jina lako
Lina nguvu jina lako
Lina nguvu jina lako babaa
Oooooh ndani ya jina
Ndani ya jina ( na damu yako) na damu yako imo nguvuu BWANA
Ndani ya jina na damu yako imo nguvuu BWANA iponyayo
Ndani ya jina na damu yako imo nguvuu BWANA
Ndani ya jina na damu yako imo nguvuu BWANA
Ndani ya jina na damu yako imo nguvuu BWANA
Ndani ya jina na damu yako imo nguvuu BWANA iponyayoo
.. .. . .. .