Kuna Wakati Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2017
Lyrics
Kuna Wakati - Ephraim Sekeleti
...
Baba huwa nakosea katika maisha yangu siku hadi siku
Mimi ni mwenye dhambi na mwili wangu na vitu vyangu
Nimeleta aibu machoni mwako
Ndipo ninaomba Mungu unishike na kuniosha kwa damu yako
….
Verse 1
Ponya moyo wangu kuna wakat unachoka
Safisha njia yangu sababu sioni
Safisha mawazo yamezidi uchafu
Shika kinywa changu kimezidi matusi na uongo
Kuna wakat nachoka mimi ni mtu*2
Baba*3(kuna…)
Chorus
Kuna wakat nachoka mimi ni mtu tuu (ooh kuna…)
Kuna wakat nashindwa mimi ni mtu tuu (ooh kuna..)
Kuna wakat napotea mimi ni mtu tuu (napoteaaaa… oooh kuna…)
Kuna wakat nachoka mimi ni mtu tuu
(Najua ushindi…)
Najua ushindi uko ndani yako wee Mungu kweli
Kuna wakati nachoka
Kuna wakat nashindwa mimi ni mtu tuu
Kuna wakat napotea unisamehe
Verse 2
Katika kauli zangu kuna uongo
Nimeleta aibu machoni pako
Nisamehe mwenye rehema Mungu
Nihurumie
Kuna wakat nachoka niepushe na mabaya yote
Najaribu kufanya mema yote
Lakini nashindwa katika
Naliaaaa (ooh kuna..)
Chorus
Kuna wakat nachoka mimi ni mtu tuu (ooh kuna…)
Kuna wakat nashindwa mimi ni mtu tuu (ooh kuna..)
Kuna wakat napotea mimi ni mtu tuu (napoteaaaa… oooh kuna…)
Kuna wakat nachoka mimi ni mtu tuu
(Najua ushindi…)
Najua ushindi uko ndani yako wee Mungu kweli
Kuna wakati nachoka
Kuna wakat nashindwa mimi ni mtu tuu
Kuna wakat napotea unisamehe
Verse 3
Macho yangu yamejaa tamaa
Siachi msichana kupita mbele yangu
Pamoja na kuwa nimeoa sina hakika
Ndio udhaifu wangu
Oooh Ndio udhaifu wangu
Nifungueeee
Nisafisheee
Nibadilisheeee
Nitengenezeee
Oooh kuna wakat nachoooooka*2
Ehh ay ay kuna…
Chorus
Kuna wakat nachoka mimi ni mtu tuu (ooh kuna…)
Kuna wakat nashindwa mimi ni mtu tuu (ooh kuna..)
Kuna wakat napotea mimi ni mtu tuu (napoteaaaa… oooh kuna…)
Kuna wakat nachoka mimi ni mtu tuu
(Najua ushindi uko…)
Najua ushindi uko ndani yako wee Mungu kweli
Kuna wakati nachoka
Kuna wakat nashindwa mimi ni mtu tuu
Kuna wakat napotea unisamehe
…..
…..
…..
…..