Controller Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Champion
Another Greatest Ever (it's A.G.E)
I'm your controller
I'm your control
I'm your controller
I'm your control
I'm your controller
I'm your control
Washajua me ndo leader wao
Controller
I'm your controller
I'm your control
I'm your controller
I'm your control
I'm your controller
I'm your control
Washajua me ndo leader wao
Controller
Wanaanzishaga vita ila bado tunashinda
They know fika we don't mess na makinda
Mtaa kwa mtaa boya ndo ataona tunavimba
We don't play nigga fuck off fanya unachimba
Na sio summer mwanangu ni mwaka mzima
Tunasukuma kete wayback enzi za ujima
Na wanao ndezindezi hawajui si ndo ma-leader
Hapa huponi upenyo hupati ukipata toka mazima
Here we go now wauni it's our time
Time ya kunyaka mpunga usijifanye unanifahamu
Ulimwengu mama nikukaza machozi jasho na damu
Joystick nawa-control Kama ps five
Heeee
Nipe uzito kwa ma-fighter wote wa kitaa
Heeee
Let's go we don't play no more coz
I'm your controller
I'm your control
I'm your controller
I'm your control
I'm your controller
I'm your control
Washajua me ndo leader wao
Controller
I'm your controller
I'm your control
I'm your controller
I'm your control
I'm your controller
I'm your control
Washajua me ndo leader wao
Controller
Me ndo lead kiongozi nimeshika steering
Fanya kunifata ukiniacha Mbona utafeli
Mfate unaemtaka Ila wengi ni matapeli
Sa yanini kukuficha na 'akati unaujua ukweli
Wanaoniogopa wakiniona si wananikimbia
Na mimi staki kuondoka nawaweka kimya
Mistari inavyodondoka wananizimia
Nafunga wana wanaoshoboka na wametulia
Tictac ona machizi si hatupoi
Hii ndo speed ya jeti na ukifata hutoboi
Believe that bila ya mtonyo huwezi enjoy
Ndo maana me na machizi zangu tumeji-employ
I'm your controller
I'm your control
I'm your controller
I'm your control
I'm your controller
I'm your control
Washajua me ndo leader wao
Controller
I'm your controller
I'm your control
I'm your controller
I'm your control
I'm your controller
I'm your control
Washajua me ndo leader wao
Controller
Another greatest ever
We are about to flip the shit out
You know
Joystick nawa-control kama PS five