Mama Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Mama - A.G.E Tanzania
...
Yeah
It dedicated to our beloved mama out there
A.g.e anha
Mama mama mama mama mama mama napata hisia kila nikimkumbuka
Mama mama mama mama mama mama napata hisia kila nikimkumbuka
Mama mama mama mama mama mama napata hisia kila nikimkumbuka
Mama mama mama mama mama mama
Let me take a pause
Ninamengi ya kusema
Nisipo yaongea hata mawe yata nena
Dude am making noise
Kwa kina mama jasiri
Miezi tisa tumboni kwake kaiweka siri
Kanizaa kwa uchungu ni mwema mbele za mungu
Na alivumilia majungu na uchungu wa kisu cha mzungu
Sa nikupe nini
Kwa wema ulio nionesha
Nilipokosa hukunitupa ulinishika ukani nyonyesha
Nilipe nini
Kilingane na thamani ya upendo wako
Na siamini
Ni mwema na nimefata nyayo zako
Toka chini
Nimekua nikiskiza neno lako
So bado nitabaki milele ntabaki upande wako
Naput my hands up
Mwanao nipo hofu ya nini
Naput ma hands up
Staki uteseke niamini
Naput ma hands up
Mwanao nipo hofu ya nini
Naput ma hands up
Staki uteseke niamini mama
Mama mama mama mama mama mama napata hisia kila nikimkumbuka
Mama mama mama mama mama mama napata hisia kila nikimkumbuka
Mama mama mama mama mama mama napata hisia kila nikimkumbuka
Mama mama mama mama mama mama
Expensive mind yeah
Kipi ntakupa kama heshima ya ulichotupa
Heshima nilokupa jana bado haitoshi so naogopa
Najua nilideka sana chakulipa sina mama
Naomba uzima uishi sana miaka buku your the god mama
So kwa upendo miaka nenda mi umenilea
Upendo kwa vitendo sina jipya tuombe uzima
Mama time nikilala
Hukulala mbali na mimi
Hukunitupa kwa jalala hukuniacha mbali na dini
Mama nitasema nini labda hilo deni la mimi
Miaka saba hata sabini ntaishi sema your the best
Haijalishi jana juzi where we were in mother i swear
Ntapambana ntazisaka up to there yeah
I can't pay that love infact i know i have to
She has a great heart when am wrong
She just forgive god bless
Mama mama mama mama mama mama napata hisia kila nikimkumbuka
Mama mama mama mama
mama mama napata hisia kila nikimkumbuka
Mama mama mama mama mama mama napata hisia kila nikimkumbuka
Mama mama mama mama mama mama
Thank ma for the blessing
To be here is like miracle
Unanipa hope nikiwa na stress
Muhimu kwangu kama spinal cord
Upendo wako sidefine
Ilove you mama i don't lie
Kwenye giza umenipa light
Mungu akupe more life
Unapambana mchana usiku mama hustler
Umenilea nimekua mama master
Mapenzi yako hayapimiki yako maximum
Unaanza wewe wengine they are next after
Mwanamke shupavu unaedeserve a crown
Maumivu we ni mkomavu
You don't let me down
Jana leo mpka kesho
Kwangu bado we ni special
Yatakwisha tu mateso
Don't worry about that
Futa chozi ipo kesho
Maumivu yote just let it go
My dear mama that day coming
Utaishi kama uko statehouse
Furaha yako kwangu muhimu
Umenifunza kwangu mwalimu
Upendo wako kweli adimu
Na kukusifu itanilazimu
Having good life that's my dream
I'm your bodyguard ntaenda jim
Ntakulinda mwanzo mwisho kama president
Siku zote uko na me mom
Acha niimbe kwa ajili yako mom
Ntakupenda mwanzo mwisho mom
A.g.e we love our moms
I'm sing for mama