I Got You Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
I got you babe i got you babe
I got you babe i got you babe
I got you babe i got you babe
I got you babe i got you babe
Yeah
Let me handle your heart for a minute
I got you so we niamini
Iwe kwenye cold iwe kwenye hot
Pote pote niamini come closer baby
Fill happy nikiwa na we
Ukae na me by side
January mpaka may
Why una delay on your way
Au hunitaki tena aise
Nimekupa kila kitu umesha nyaka kila kitu
What do you say what shall i pay
Uwe nami kila day
Niwe nawe kila sehemu baby girl
Nisha kunyaka nimekupata na naringa maze
Kwako nimedata nishawaka na ni chizi asee
Si washi shada mbele yako na ninasizi kisee
Nimekufata ukiniacha utanikill my baby
Na usije nizima ka candle
Ukaniacha kwa mwendo
Nivae kabisa mwilini nifiti ka sendo
Na unavo ni treat kwa bedoo
Usikilizi maneno
Umeniweza weza
Umeniweza weza
Umeniteka mimi
Hata siamini
Mapenzi unayonipa sijapata mimi
My baby yeaaaaah
My baby yeaaaaah
I got you babeeeee i got you babe
I got you babeeeee i got you babe
Yeah
Kwanza i can't explain about you
Beautiful you are
I don't know i'm speechless
Na hata sioni sisikii thats true
Kwako me nshadie njoo karibu usinipe distance
I swear babe you looking good
Kuanzia face,lips,hips,the whole body uko sexy
Unavowaburuza uko kasi hawakuwezi
Unyama juu ya unyama ukiongeza ni unyamwezi
Anha anha
Gimme one time
Nikiwa na we' chumbani
Come closer me and you we spending all night
Mkataba nshasign
Me ni wako no lie
Ntaenda wapi tena
Ntaenda wapi tena
I got you sito ruhusu
Tuachane there's no chance
Mimi kwako nshajitusu
Sitokubali nikukose
Hadharani nipe busu
Mpaka wanafki wakome
Na wakichat kwa group
Zima data wasituone
Kila siku mikiki mikiki tu
Nitaongeza usipate madhiki boo
Me ni wako nshaweka na tiki juu
Wachawi wachawi kwa mbali na wazoom zoom
Ligi ndogo hatuchezi hii ni ligi kuu
Acha nao watakupa stress tu
Wanaona haya you look so beautiful
Ongeza nyodo uongee na kizungu
My love mia mor
Kwako me ndo nisha fall
Nipe mapenzi nikupe mapenzi iwe show show
Ntaisaka hiyo doo
Kwenye account thou ziwe more
Nikupe unachotaka
Nikupe unachotaka
Umeniteka mimi
Hata siamini
Mapenzi unayonipa sijapata mimi
My baby yeaaaaah
My baby yeaaaaah
I got you babeeeee i got you babe
I got you babeeeee i got you babe