![Amina by Placidboy Gringo](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/13/6dabe96a72b4493dbfee8436f255feb8_464_464.jpg)
Amina by Placidboy Gringo Lyrics
- Genre:Jazz
- Year of Release:2022
Lyrics
Amina by Placidboy Gringo - Talentboy Music
...
Mr sulle on the beat…
Griiingo ..
wana share love
wana share love
wana share love
Eti umeolewa
Saa mbona kwa guest unaingia
Siumempa bia
eti anataka na chips
kisha eti kuondoka
ataondoka na taxis
wana share love
Ah! nishapaka dow
Nishapigania
vumbi la mkongo , alkasusi
huondoki leo
nishasema noo
lazma leo utapagawa
R/ amina ashalewa /3
zungusha zungusha zungusha maama
amina ashalewa /3
zungusha zungusha zungusha maama
Ina inama!! inamaa
ina inama!! iokotee
Fanya unasokota,
okota , fanya unaiokota
suguwa, sugu, suguwa
sugu suguwa
kama unachubuwa kizaka
inama kama kuku akitaga
amelewa na chupa mkononi
kichochoroni
pisi kali kwa budha anaghara
ni ukorofi
R/ amina ashalewa /3
zungusha zungusha zungusha maama
Ina inama!! inamaa
ina inama!! iokotee
Eti umeolewa
Saa mbona kwa guest unaingia
Siumempa bia
eti anataka na chips
iragire from australia
jean pacifique
Talentboy