![Wazushi by Iyano Gulliver](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/20/9c60b935f3ff465f891432acd5844a92_464_464.jpg)
Wazushi by Iyano Gulliver Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2022
Lyrics
Talentboy
Gulliver
Oohhh ohhh
Biashara ya upendo
Niliwekeza kwako
Mimi hodari wa mapenzi
Ndo nilicho jaliwa a
Usije taka gari
Uwezo sina tafadhali
Nikikosa vumilia
Nikipata kachumbali tutakula naa
Zile kelele, kelelee
Usisikize honey,
Eti natoka na jirani
Wazushi
Haooohh
Wanatamani uniache ndo waridhike Haooohh
Yaani penzi koleza tuwatambie
Haooohh
Nipe mchuzi wa pweza, niwavimbie Haooohh
Manyamera waumie,Aaah
Ni wazushi Haoooohh
Ndo uniamshe alifajiri
Tuzianze zile kinkiri
Kusaka kunguni za sakafuni
I wanna follow your way tuendane
Baby ni bebe
Hadi kwa mgongo nideke
Hacha mambo ya kisela
Niwe nawe mpaka aheraa
Mi ndo mkali mtaalam wa mambo
Huwaga navuma kwa vishindo baby
Onana naanaaanaa
Niwe peke unanifanya ni come
Ya wanoko usisikize , haram
Nanaaaaanna
Penzi langu tunzaa
Wazushi
Haooohh
Wanatamani uniache ndo waridhike Haooohh
Yaani penzi koleza tuwatambie
Haooohh
Nipe mchuzi wa pweza, niwavimbie Haooohh
Manyamera waumie,Aaah
Ni wazushi Haoooohh