
Nitunzie by Iyano Gulliver Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2022
Lyrics
You my energy
You're my melody
Niko paradis
Hebu nienzi na washenzi
Washangae hili penzi
You're my lover
Tumeshinda vikwazo hakika
Come closer
Kama tuzo sina ningekupa
Sisi ni washindi sio losers
Hii game isiwe over
Kisa yale wanayo chonga
I go love you forever
Usije kimbia
Ukaniachia adhabu
Macho yakalia
Machozi na we ndo sababu
Moyo wangu wa nyama
Mwenzako naogopa tabu
Kesho nikakuchukia
Nikikuona tu gadhabu
Usiniache kisa wanoko
Penzi ushalijenga mamayoo
Wasije kuchonga midomo ukienda
Na mi ntabaki naumia ee
Lilinde, unitunzie ee
Lilinde penzi unitunzie ee
Lilinde, unitunzie ee
Lilinde penzi unitunzie ee
Step by step mi nawe twaendana
Mapenzi unayo nipa mi nawe twaendana
Relax, kwako nimenata
Mpira maradona tunapiga tikitaka
Kiuno unavyo rotate
Napenda unavyo shake mi namwaga noti
Nabaki kama zuzu mganga wangu unanitibu
Sorry, chonde chonde penzi usiharibu
Mdoli mi nawe tushinde majaribu
I go spend my life
I go spend my money
From morning till night
Coz u gimme mayonnaise
Baby know your my light
Milima na mabonde tumepanda wote
Majaribu na vigingi tuviruke sote
Endapo nikianguka usisite niokote
Mbona kama nimelewa
Minashindwa jielewa
Ao ndo madawa
Mpaka napagawa
Kwa penzi lenye power
Umenishima umeniweza kwako nishanata
Mimateka sijiwezi baby zima data
Lilinde, unitunzie ee
Lilinde penzi unitunzie ee
Lilinde, unitunzie ee
Lilinde penzi unitunzie ee
Gulliver and placid boy
(TALENTBOY)