Sio Shida ft. Sancho Alone Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2022
Lyrics
Sio Shida ft. Sancho Alone - Jila LeGrand
...
Intro: Jila LeGrand
Le Grand, Yei yeah yeah
Oyee yeah, Ma African Queen
Usikize maneno, wakisema mi ni shida.
Utapata mateso tukiwa pamoja.
Ni suala la muda, mi ni mpambanaji, tazama vitu vizuri vimekuja...watulize nafsi.
Chorus: Jila LeGrand
Me wanna say me si shida (Semi sio shida/ Oh yeah) ×4
Verse1: Jila LeGrand
Kwa kila gumu kuna urahisi
Tukituliza akili tu
Kama wao wameweza iweje sisi
Itakuwa fresh yaani simple boo
Babe, unajua life sio rahisi
Tukimwomba Mungu kuna wepesi
Zile propaganda za wanazengo
Ni kuzipiga tu chini hizo
(Instruments Playing)
Verse 2: Sancho Alone
Bado nazichanga (babe) ×4
Nivumilie
Mi kwako nimefika wewe
Mtoto wa kiafrika yeyeee
Nataka kuzeeka na wewe
Wote kwenye maisha
Mapenzi yapo toka enzi za Adam na Eva
Kiukweli babe mama umeniweza
Nataka niwe nawe night till morning
Nikutunze we ndo yangu mboni
Kumi na mbili unanipa hisia za kukaza roho
Na ujasiri wa kikomandoo
Wanipa hisia za kukaza roho na ujasiri wa kikomandoo
Chorus: Jila LeGrand
Me wanna say me si shida (Oh yee) ×4
Semi si shida (Semi sio shida) ×4
Bado nazichanga (babe) ×4
Nivumilie