Pokea Simu (wazimu) Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2020
Lyrics
Pokea Simu (wazimu) - Jila LeGrand
...
Hekh hekh ...... ekh ekh....
Verse1:
Why so gal (Oh gal), Mbona unani-stress (You kill me softly)
No reply gal (Oh gal), Already message sent (Oh gal) You turn me crazy
Kama vocha nakutumia then unipigie (ah yeh eh)
Kama ipo charge unipigie message ukiona usinichunie (ah yeh eh)
Kama vocha nakutumia then unipigie (ah yeh eh)
Kama ipo charge unipigie message ukiona usinichunie (ah yeh eh)
DM insta nimetumae, DM insta nimetumae
Bado hujajibu
DM insta nimetumae, DM insta nimetumae
Hujasema kitu
Chorus:
Wazimu unanipanda (hey ih)
Wazimu unanipanda (hey ih)
Wazimu unanipanda (hey ih)
Wazimu unanipanda (hey ih)
Pokea babe hio simu
Pokea babe hio simu
Pokea babe hio simu
Hio simu
Hio simu
Verse 2:
A cutie gal with a bombshell shape
Forgive me gal let our love make a step
A cutie gal with a bombshell shape
Forgive me gal let our love make a step
Usikae kimya unanivuruga gal you de do mi bad ooh
Blue tick zimesoma why ignore me gal oh
Upo online unanisoma why you do not reply oh
Upo online unanisoma why you do not reply oh
Unavyokuwa kimya unanichanganya (eeh)
Nikipiga simu yako tu inatumika (eeh eo)
Na ile vocha ishatumika (eeh)
No reply siku ishakwisha (eeh eo)
Unavyokuwa kimya unanichanganya (eeh)
Nikipiga simu yako tu inatumika (eeh eo)
Na ile vocha ishatumika (eeh)
No reply siku ishakwisha (eeh eo)
Chorus:
Wazimu unanipanda (hey ih)
Wazimu unanipanda (hey ih)
Wazimu unanipanda (hey ih)
Wazimu unanipanda (hey ih)
Pokea babe hio simu
Pokea babe hio simu
Pokea babe hio simu
Hio simu
Hio simu