Mi Corazon Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Mi Corazon - Jila LeGrand
...
Mi corazo mi corazo
Unaumiza unaumiza moyo
Babe gal i swear unaumiza moyo
Unaumiza moyo ooh
Miezi sita karibia na mwaka
Nakufatilia na hata
Nakuhudumia
Nakuhudumia
Nishakuahidia ya kwamba
Nitafunga nawe ndoa ila sasa
Utayari wako ni mtihani
Yaani ni mtihani
Simu kukupigia nikuanze mimi
Tunaongea unaniambia nikate mimi
Kuna simu inaingia
Mtu anakupigia
Kuna simu zikipigwa hupokei
Na ukipokea huongei
Na ukiongea unatoka nje...
Yaani nisisikilize
Mi corazon my babe ooh no ooh no
Mi corazon my babe
Mi kuvumilia no siwezi
Mi corazon my babe ooh no ooh no
Mi corazon my babe mmmh
Acha nikueleze ukweli wako ooh
Mi corazon my babe
Mi corazon mi corazon hou ooh
Acha nikueleze ukweli wako
Dini kwetu sio tatizo ooh yeah
Kabila kwetu sio tatizo mi corazon mi corazon
Kipato kwetu sio tatizo hou ooh
Acha nikueleze ukweli wako
Liwalo na liwe
Tulipolikoroga tunywe
Kila mtu ashinde mechi zake
Kila mtu ameshapanda dau
Ukiwa nami hupendezi unavyotupia
Ukitoka zako huagi unavutia
Tukipiga picha hutabasamu unanuna
Na bado nki'post no like no comment
Simu kukupigia nikuanze mimi
Tunaongea unaniambia nikate mimi
Mtu anakupigia
Kuna simu inaingia
Kuna simu zikipigwa hupokei
Na ukipokea huongei
Na ukiongea unatoka nje...
Yaani nisisikilize
Mi corazon my babe ooh no ooh no
Mi corazon my babe
Mi kuvumilia no siwezi
Mi corazon my babe ooh no ooh no
Mi corazon my babe mmmh
Acha nikueleze ukweli wako ooh
Mi corazon my babe
Mi corazon mi corazon hou ooh
Acha nikueleze ukweli wako
Dini kwetu sio tatizo ooh yeah
Kabila kwetu sio tatizo mi corazon mi corazon
Kipato kwetu sio tatizo hou ooh
Acha nikueleze ukweli wako