
My Lady Lyrics
- Genre:R&B
- Year of Release:2022
Lyrics
Heey yah yah yah yah hey beiby hey beiby hey yah yah yah
Afandeee
(chorus)
Ndapanda milima na hills,nishike ma Gucci za jeans
Ndasaka manze kila means,nikuje ndo nione the girl of my dreams×2
(verse 1)
Heshima napea my Lady,Juu ye ndo atanipa ma baby
Wasupa najua ni wengi,na wote wakiniita siendi
Mapenzi ye unipa kwa kiti,kwa meza, kwa bedi
Ye upenda kucheza na miti,akiniona ye usema ako ready
Bebii my lady napenda kukuona kadaily
Bebii my lady napenda ukinipa kadaily
Bebii my lady unajua nimekudedi
Bebii my lady nafanto ukiniona namedi
(chorus)
Ndapanda milima na hills,nishike ma Gucci za jeans
Ndasaka manze kila means,nikuje ndo nione the Girl of my dreams ×2
(Verse 2)
My lady bebii kila pahali ndakuaga nikienda nataka ukujange twende
Kwako ni kweli situmii kondiko na trust akuna kaswende
Love ni tamu ka tende,na venye unanipa ki bebi utafanya joh hadi sukari ipande
Wewee ndo nakupenda,we ndo unanijenga
Bebii ndakufyata,hata ukinilengaa ×2
We ndo unieka juu juu,we ndo unipa munju
Mi ndo upiga rungu,we ndo utaja MUNGU
Daily ni ma nduru,naichapa kiumahuru(wee wee weuwee).........
The girl of my dreams,beiby
We ndo the girl of my dreams hey yah weuwee
THE END.
@2022