
Kazoze ft. Iano Ranking Lyrics
- Genre:Dancehall
- Year of Release:2021
Lyrics
Kazoze ft. Iano Ranking - MASTAR VK
...
....
iano ranking nadaimaki(akibriyo)
...
1292(60)
ati nimeshika black paper ,ilembe ya gat
njoti ndio tool kwenye ngango ya ngat
iliki kashata makoro kwa shirt
zimerunda Na lele walai zimefiat(aaah)
nikam zo_zo Leo nikaa zozeze
utanipata sana bekazozeze
njoti ndio tool niongeze
kazoze kazoze
nikam zo_zo Leo nikaa zozeze
utanipata sna bekazozeze
njoti ndio tool niongeze
kazoze kazoze
...
ni tumajani ,jaba safi inafanya silali
maini,na matawi za dijitali
iano,Leo nikazozeze najirani
kwenye luku fisa tumepandisia mali
c nywele lakini utanipata nikichana
kawewe kanabamba mpaka wasichana
kashike,kazoze,usiku Na mchana
alf nikitema ciezi shindwa kudi**Na
kutema haifai takzin nifure
hivyo ndio miminafurai
tuvunje Na mogoka
mpaka udhani nakuchai
macho kukodoa ju ya vle zimewai
(wewe)
(nikam zo_zo Leo nika zozeze
utanipata sana bekazozeze
njoti ndio tool niongeze
kazoze kazoze)×2
...
yooh,niliki katool faite weka asili
ongeza mastata ongeza matawi mbili
naleo ngwethe kanashika kwa akina Willy
mtu Na wake essy kirumba ni wa Mimi
zamorome zimeshika adi anatoa shati
njoti zimemwonyesha nikutokate ngwati
ye hushikisha maini akiongeza mabati
kazoze kazoze kasonge Na wakati
utanipata zabe karunde nakimera
jaba ni ya mandevu ras ama masela
nashika Na kashata kibao Na mavela
na before nikateme nakataja jaba Na kwela
nimeshika black paper ilembe ya gat
njoti ndio tool kwenye ngango ya ngat
iliki kashata makoro kwa shirt
zimerunda Na lele walai zimefiat
(nikam zo_zo Leo nika zozeze
utanipata bekazozeze
njoti ndio tool niongeze
kazoze kazoze)×2
*awayusay*prrr kang kang