
Unakuja Hukuji Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Unakuja Hukuji - Mastar VK
...
unakuja au ukuji ati huwezi make na unatoka kamkunji Niko na wawili na si wote hawakuji Moja kwa matatu za ronga kama ndunji wachana maneneo na mariba za upuzi kama ukona ball nilirusha kama ya ruji stakagi machura minakuanga tu mjuzi si ati siwezi kuacha na tulipatana juzi eiiiih ntakusuka marangapi kwenye nimetoka unadhani Kuna wangapi ulipenda celeb juu anapiga manjapi ataupate mimba huwezishika mbaka napi