Life ft. NATTY & MANDO Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2022
Lyrics
Life ft. NATTY & MANDO - gta
...
cw what's the moment
...
life ni tricky iko full of lessons
zingine hukuanga special
different people different intentions
wengine hukam na occasion
life ni hustle kila direction
zingine hu' ni connection
ka si pesa sita ki mention
hiyo story si give attention
glory najenga God The Father
amenileta farther
toka enzi za ganja farmer
na kubeba ma hammer
show grabbing design ya drama
do you believe in karma
hiyo ndio stori ilifanya parma
akapotea lucky summer
pain huwa hukam and hurt and go
na bado life hu flow
sometimes my heart uturn tu cold
something's i can't control
na aim for star na get the moon
sometimes you cannot choose
nakuanga bad nakuanga good
that's why i keep it cool
ya leo ni gift ya kesho seek
maganji ndio huspeak
wengine good wengine sick
hii life hukuanga sleek
na what you need is what you keep
tiktok hukuanga cheap
na life naishi is full of sin
acha nijikaze ku compose ma drills
hii life ni tricky iko na ma down
'kumbuka way back nimekuwa na magaldem
namb hiyo pinja hatudai ma frown
mi take kila choice kah pet
nimekuwa king huwezi nishow juu ya crown
nimekuwa chini huwezi nishow juu ya kuwa down
kah ni kuwa real tumekuwa mara thao
na bado tunaona ma ghost kila Sunday
do you believe in life bila stress
ukiwa nayo utaipoint usifall
watu wako blessed ndio hukuwa my best
kuingilia vitu na hawako involved
usiniulize kah si doh mi na left
kah ni ujinga ingine huwa tuna ignore
pitia steam ni ma thoughts kwa head
naji pin magode ndio time iende slow
life ni tricky iko full of lessons
zingine hukuanga special
different people different intentions
wengine hukam na occasion
life ni hustle kila direction
zingine hu' ni connection
ka si pesa sita ki mention
hiyo story si give attention
glory najenga God The Father
amenileta farther
toka enzi za ganja farmer
na kubeba ma hammer
show grabbing design ya drama
do you believe in karma
hiyo ndio stori ilifanya parma
akapotea lucky summer
pain huwa hukam and hurt and go
na bado life hu'flow
sometimes my heart uturn tu cold
something's i can't control
na aim for star na get the moon
....
...