Switch ft. NATTY & MANDO Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2022
Lyrics
Switch ft. NATTY & MANDO - GTA
...
Most times niko block nasin,
Niko na bros kwa wing,
Unakumbuka 4 by 6,
Dem anajua hizi sides hatumix,
Namshow ka anaeza shhhhh...
Ananishow ako down to crib ,
Ni brownskin ting anadai kuswitch,
Tulikuwa mtaa ukicheza pretend
Nikiback hii skeng utaback my side na hakuna kubend,
Nikienda on a glide na ubaki back home utapiga defense
Najua si lazima uprove but unajua risk kila kitu iko na end
Si ni lievon na we don’t pretend
CHORUS
(Nikiback up hii mash utaiback na mii,
Mwambie dont bleed
unajua tu wote ni masheep hio mbogi itadrop nikiflip hii switch
Shikilia hii whip inakam na speed
Haifiki soo hata ufanye hit )