Skywalk ft. NATTY Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2022
Lyrics
Skywalk ft. NATTY - gta
...
...
grrrh
...
unajua boy just scored no points woi
kwanza nikipull up hii rambo
nipate off guard namroll ka joint
tunacheza surf boy surf
niko busy na mah cops tuna up kah coins
chemicals mi nko rambo alikuja one man get back me troy
sema nko na salts kah soy
hii ni mixture ndom na coss
tuwarule hiyo block kah ka vodk
cheki kila msee anaanza tu ku pose skywalk
amebaki hii sword na punch
up close anadai ni bro na unaogopa ku score
hauishi hii life
sema uko na uko na chuki point uko sky weh ni mbleina for a reason bye bye
tuko kwa bundle na chill na ma mbleina pah
unajua bizz ni bizz
tulifanyisha zido adi ma waider
shot ni tatu hakuna time ya cheers
bro ako na nduru kah sailors
sema unaeza glide utaenda na wind
mark hiyo blade inakaa 360 thirty inch in
below on stage
unajua time ni dooh tunadunda adi Sunday
Green iko kwa vein nikipoint hii door inalia kama bell (tiing)
boy anapenda kusema heloo
kam hii side utaimba kama Dello
ati niko rough nilimea hadi pembe
siku hizi tunatuma hao maboyz hadi hell
siku hizi tunatuma hao maboyz hadi hell
unajua boy just scored no points woi
kwanza nikipull up hii rambo
nipate off guard namroll ka joint
tunacheza surf boy surf
niko busy na mah cops tuna up kah coins
chemicals mi nko rambo alikuja one man get back me troy (traah)
sema nko na salts kah soy
hii ni mixture ndom na coss
tuwarule hiyo block kah ka vodk
cheki kila msee anaanza tu ku pose skywalk
amebaki hii sword na punch
up close anadai ni bro na unaogopa ku score
hauishi hii life
sema uko na uko na chuki point uko sky weh ni mbleina for a reason bye bye
....