
Character Lyrics
- Genre:Gengetone
- Year of Release:2022
Lyrics
Character - Benzema
...
Benzema - Character
yeah, yes
karata what a character
karata na dame chocolata
karata imenijengea adi moshadha
karata noma adi inaflata
leta prosho
ya chochote
mi ni employee of the month
keroche
about showbiz, napenda ostrich
mi ni shotsman nipate pale mongich
niko na right man wangu anaitwa rotich
madem wa nyeri know about it
so walipanga kumwiba
wakapata mi ndo watchman nje ya gate
wakasema mkubwa wao anaitwa jimmy gait
shida yao kubwa ni waja ovulate
then nikatoa calculator
nikacalculate what is the matter of late
karata what a character
karata na dame chocolata
karata imenijengea adi moshadha
karata noma adi inaflata
karata what a character
karata what a character
karata what a character
karata na dame chocolata
gold digging ni form of terror
hijab sita inaashwa na bendera
jack anaitwa alphonso otega
mwizi anaiba madondo na ndeng'a
ndai ya mr bean inatosha gazebo
ona tume pit latrine na chipo
iyo ni discrease ebu ongeza kilo
twende river na tuifunge na funiko
kata kiasi, want a bite
uma nanasi, lewa kiasi
after that, twende nyumbani
belinda belinda
si unajua nimespecialise finger
belinda belinda
kuja nami tushinde kina frida
karata what a character
karata na dame chocolata
karata imenijengea adi moshadha
karata noma adi inaflata
karata what a character
karata what a character
karata what a character
karata noma adi inaflata
mmh eeh
karata noma adi inaflata