
Story za Vanessa part 2 Lyrics
- Genre:Gengetone
- Year of Release:2020
Lyrics
Story za Vanessa part 2 - Benzema
...
Nisha mada ku medi rewind time but ile saa tulikua walevi
dundeni ya kwanza changes westy tulikua chuki lakini na mapenzi
kaka braza wacha nikwambie kitu
usiwache zana Dem anapenda anasa
najiuliza singefanya blanda ungekua wangu ama unatembezwa kwa chama
aii aii mambo haiko sawa Niko dating site natafuta Dem wa power
usini confuse na ule ghost wa power
wakutumia flousy Kama ndege na mabawa
anniversary nilikubuyia pajama
plan ni kumea ganja kwa shamba
ndo tuongeze ladha ya kukatana nyama nyama
bado uko na talent ya umalaya kwa kitanda
najua unapenda kueka mguu ndani ya mchanga
...............................
gotea matha mwambie me ni father
mtoi atakua mras kushinda warasta warasta
anyway bye nimeroga Sana na si stand for latter ndo ikue na maana
ndo ni improve Grammer
usiweke lawama juu ya mapenzi garama
(lyrics by Ascar nduku)