
Story za Vanessa part 3 Lyrics
- Genre:Gengetone
- Year of Release:2020
Lyrics
Story za Vanessa part 3 - Benzema
...
ishirini ishirini
tulikosana ishirini na kumi mbili
uliniacha nimesmama inje ya wimpy
kamote kamote
gafla bin vuu umepanda ligi
transfers unafanya za man city
ukaniweka substitute Kama chichi
ukanigeuza waiter si mpishi
kwa moyo ime andikwa omondi
kwa Pete written muriuki
kwa bank statement gunjiri
kitabu ya Deni zero sufuri
Vanessa si Dem mmoja
Vanessa ni Dem yeyote nimefungulia toja
Vanessa Dem yeyote kunyi kwa bipolar
Vanessa Dem yeyote make up ni transformer
nimechoka na swali za mbona mbona
nairobi yenyewe ni porn hub iko kwa kona
body count toa decimal points
itabidi Brazzers wameku annoint
nili meet namesake wako kahawa
nasi hio Virgina ilikua inatoa fudhi machawa
nilitrim doshi ya times tower
rescue mission ki jack power
weka weka meno chini ya pillow
Niki pray one day ndakua heroo
tooth ferry alituma stivo simple ,Alejandro na ochungulo
( lyrics by Ascar nduku)