
Bundas Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2019
Lyrics
Bundas - Chris Kaiga
...
tuna pull up mraia wa tuta
uko juu ya nduthi nanaback up ya uber
madem wanakaa chuli mmapause cheki huda
venye ana stagger ni kaa wana banjuka
dem chuma but anadai kuchungwa
hio tena haiwezi juu tuu tumeanza dunda
itabaki wametokwa na mlango haijafungwa
hizi gunda za faa kupigwa bundas
najaza meza pamoja na ukuta
juu hizi bundas zinabisumbua
leo mbaka bouncer apigwe na kichupa