Majaliwa ft. Fena Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Majaliwa ft. Fena - Chris Kaiga
...
Fena:
(Yeah yeah yeah yeah yeah)
Mungu akipenda basi siwezi zuiwa-ah-ah
Majaliwa, Mungu akipenda basi siwezi zuiwa
(ah-ah)
Majaliwa, mahali naelekea lazima nitafika (uh huh)
Majaliwa, leo isipoweza kuna kesho pia
Majaliwa, (oooh yeah) Mungu akipenda...majaliwa-ah
Na hata wakifunga milango
(kaboom)
dirisha zimefungiliwa
(uh huh)
Maisha huwa tough in the jungle
(prrrr)
lioness huwa halali njaa
(raah)
Mama said I should always stay humble,
nilidrop ball once in my lifetime
(nooo)
Ukanipa another chance 'cause you love me so,
naomba hii bag nisifumble
Oou the way you saved me,
(yeah)
mipango yote ya shetani imepanguliwa
(uh huh)
With Your love and grace, na msosi sikosi nimeandaliwa
(aah)
So lemme make You proud, all the way to the stars
Bendera yetu ipepee
(Uipepee)
(Oou-oou-oou)
Majaliwa, Mungu akipenda basi siwezi zuiwa
(ah ah)
Majaliwa, mahali naelekea lazima nitafika (uh huh)
Majaliwa, leo isipoweza kuna kesho pia
Majaliwa, (oooh yeah) Mungu akipenda,
(sawa) majaliwa
Chris Kaiga:
Inua tumbler, shukuru Sir Jah
Hata kaa huna mkwanja, shukuru afya
Hii ni ya mraia hajagive up on the hustle,
Hii inainspire msee anaiskia kuwa champion
Na aim for the top bila rifle, marival hucheck from afar kihorizon
Na stay on the top kama title, na eyes on the prize bila kuangalia kando
Majaliwa nina shoulder naeza lie on,
Majaliwa ni Jehovah na rely on,
Majaliwa hii ni ngoma ita go viral, in time bro, kanairo na kwa charts international
Fena:
(Oou-oou-oou)
Majaliwa, Mungu akipenda basi siwezi zuiwa
(ah ah)
Majaliwa, mahali naelekea lazima nitafika (uh huh)
Majaliwa, leo isipoweza kuna kesho pia
(Oou-oou-oou)
Majaliwa, (oooh yeah) Mungu akipenda,
Majaliwa...