Ongeza Debe ft. Dai & Scar Mkadinali Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Ongeza Debe ft. Dai & Scar Mkadinali - Chris Kaiga
...
ongeza debe
ongeza debe
ongeza debe
ongeza debe wakipunguza
ongeza debe wakipunguza
hii flow ni kali naitema ka taxin
nikibonda stiss na ma punchline ka Ali
naroga, hadi namaliza biz ya mchawi
nikingoja kuona witch doctor Marsabit
kuna masaa beat unishow samahani
nikianza kuimada kama dish kwa sahani
nakam kuisanif kuwaachia mali Safi
raia wata sample hii kejani na kwa mbaru
ongeza debe
ongeza debe
ongeza debe
ongeza debe wakipunguza
ongeza debe wakipunguza
Scar niko mi si badiliki
na niko ivo na sija chapa bangi wiki
mi niko macho mi si babaiki
na mi napenda hustle bado me sija burry Nipsey
aii broski R.I.P
ata kaa ni risky
bado boss ana insist
saa zingine ni fiti kujifanya fala hii street
shida yangu kubwa ni mimi
but can I see
ooh ooh ooh ooh
ongeza debe
mi nitakam solo
we unaeza ongeza Rende
kama sio mchoro ya mkwanja
eleza uende
na sistako ananimezea we meza wembe
naah na live life
it's like
imeshajipa
ni yule mister Riz Mangwai
kaa huja nyita
design zimeni nyc
nikiskiza zimenishika
nime miss east by now ni miezi sita
ongeza debe
ongeza debe
ongeza debe
ongeza debe wakipunguza
ongeza debe wakipunguza
sawa ongeza decibel juu nishaa jbl
hadi neighbor alete Nacada hawipunguze
songesha mwili nikama uko under influence
yaki redbull makali na ki Lucozade
main man mi si saba niko baze
ma mbleina husaka sawa kuni place
naleta action ka sembi president
na ma veteran wanajua mimi ndio next
chief connect ukidai mali Safi
na bring peace to back nikama tuko 90
mi na Scar nima pro kwa hii kazi
so rewind the track na uongeze kiasi
ongeza debe
ongeza debe
ongeza debe
ongeza debe wakipunguza
ongeza debe wakipunguza