![INSTA GIRL](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/18/eb2b37487c18450791a966f2640a964e_464_464.jpg)
INSTA GIRL Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Fahari ya macho ni kuona
Na kila siku vingi tunaviona tu
Lakini kwako nimekwama nimekwama yeah
Insta girl wow
Sitaki kuamini umenitawala girls
Mmmmh mmmh mmh
Wengi walisema sikupatii
Nikakimaa nawe
Japo Mara ya kwanza uliniona mzugaji
Sikuchoka maaa sikuchoka maae
Mi na we ni makopa hadharani
Viemoj na mafilter girl
Kama ndani hatuonani
Nimedata nawe
Insta girl
Slayqueen you're my beautiful mumy
In amazing world
Nimedata nawe
Insta girl
Slayqueen you're my beautiful mumy
In amazing world
Ukipost napost nalike na kucomment
Replys ni full fake ni full pretend
Unagawa dozi kwa dozi
DM imejaa kishenzi
Mapedeshee miamala inasoma bila request
Now one time for the slayqueens
Najua wote mnatamani kuwa main chick
But sitaki shida hilo uamini
L Uwe wife material nadili nyingi
Ntafanya vyote ila kucheet ndo siwezi
Napata raha sina stress za mapenzi
Kambi popote tunaroll kinyamwezi
Wa Facebook hawayajui mapenzi
Ntafanya vyote ila kucheet ndo siwezi
Napata raha sina stress za mapenzi
Kambi popote tunaroll kinyamwezi
Wa Facebook hawayajui mapenzi
Mi na we ni makopa hadharani
Viemoj na mafilter girl
Kama ndani hatuonani
Nimedata nawe
Insta girl
Slayqueen you're my beautiful mumy
In amazing world
Nimedata nawe
Insta girl
Slayqueen you're my beautiful mumy
In amazing world