![ICON](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/20/1eab8e1a55e147e9aaa56f1ac1868cc9_464_464.jpg)
ICON Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
It's trexy
Now ishakuwa lifestyle
Yenye mwenendo wa kivita
Ni lifestyle yangu
Ndo inafanya mi nawika
Wataongea sana wajikute malaika
Me nawaombea sana waivishe wavyopika
Ahh I don't even say shit what you wanna for
Sawa mi sio a list what you gonna do
Unawaza sana yakwangu yakwako vigoloka
Atapata pumu mwanenu mi vumbi lisilotoka
Sifa zangu hazifanani na zako
Naijua hali yangu we pambana na hali yako
Na sio kufeel tu nafeel nipendacho
Nipo makini sana nisije pigwa kikulacho
Yeah the world seen so nasty
I been doing my job and don't judge me
You know am living my life ata kama
Sina cash naenjoy wallah so fuck you
Kupendeza tunapenda kama dry clean
Hatuna shobo wanashoboka tu light skin
Na vile muuni nimetekwa na hizo melanin
Ni oi oi saigon you know what i mean
Ni oi oi saigon you know what i mean
What i mean sio kuikalibisha kesho
Namwomba nashukuru inapotimia nasettle
Naogopa kukufulu kwa maswali ya kimento
Wagiza nipe nuru nione raha ya mapendo
Upendo ni furaha sio kutwa ku sex
Upendo sio dhinaa upendo ni mwepesi
Upendo unaweza change jiwe kuwa maji
Hisia na matamshi vyote vinafata imani
Waghuan nipate steam za jamaica
Show love kwa ma real na ma haters
Young king nitakuja mkisepa
Time is up i don't wanna be amesser
I don't wanna be amesser
Time is up i don't wanna be amesser
I don't wanna be amesser
I am feeling good
I am feeling nice
I am feeling good in may medulla
Cause am luck boy papi chulo
I am feeling good
I am feeling nice
I am feeling good in may medulla
Cause am luck boy papi chulo
Cause am luck boy
Am luck boy
Cause am luck boy