Right here ft. CB911 Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Kutoka east side
Nimekuja kukukuta west side
Nipo kufurah
Join me twende wote high
Its not summer time
Cheki is raining outside
Stay with me all night
I'm here
Ujue nakukubali
Weee ni zaid ya hatar
Miii naashum mbali
Haujui
Sahau yaliofanya univungie
Sahau yaliofanya we uumie
Makosa leo natubu nitulie
Kumbuka we ndo mwenzangu na mie
I see no one else but you
Baby girl I know you do
You wanna give hug
Give me love and
Give me kiss
You wanna give me fuck
We can do it right here
Right here right here
Right here
We can do it right here
Right here right here
Right here
Ujaana wa kula ganja na mitungi
Ndo ulifanya nika lose
Nikiludi home temper
Ni makofi na mangumi
Na mixer uhuni wa
Kucheat hadi bafuni
Najua nilikuumiza
Nisamehe me sifuri
Mwenzako sijapata wa Kufanana na we
Please come back kaa chini tuongee
Sifanyi tena drama ni akili za barehe
But its okay if u done I'm okay
Its okay now its oright now
Nakupenda unanipenda
Ni tafuta unachotaka
Mi ni soldier we ndo leader
Sahau yaliofanya univungie
Sahau yaliofanya we uumie
Makosa leo natubu nitulie
Kumbuka we ndo mwenzangu na mie
I see no one else but you
Baby girl I know you do
You wanna give hug
Give me love and
Give me kiss
You wanna give me fuck
We can do it right here
Right here right here
Right here
We can do it right here
Right here right here
Right here