
Nitakaa Nawewe Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Nitakaa Nawewe - Karura Voices
...
with a smile on your face
Part1
nikiwa ndani yako enhe
wewe ndani yangu
mzabibu wa kweli,sitanyauka
nikiwa ndani yako
nawewe ndani yangu
mzabibu wa kweli,sitanyauka
umenipa uhai heee
umenipa uzima
nikiwa ndani yako,sitanyauka
umenipa uhai heee
umenipa uzima
nikiwa ndani yako,sitanyauka
Chorus
wewe mzabibu wa kweli,nitakaa nawe
nawe,nawe,nitakaa nawe
wewe mzabibu wa kweli,nitakaa nawe
nawe,nawe,nitakaa nawe
wewe maji ya uhai,nitakaa nawe
nawe,nawe,nitakaa nawe
wewe mkate wa uhai,nitakaa nawe
nawe,nawe,nitakaa nawe
(instrumentals and vocals)
Part two
ni *mimi kama mti,ulio kando ya mto
kwanya kati zote,sitanyauka
ni lini kama mti,ulio kando ya mto
kwanya kati zote,sitanyauka
umenipa uhai,umenipa uzima
nikiwa ndani yako,sitanyauka
umenipa uhai,umenipa uzima
nikiwa ndani yako,sitanyauka
Chorus
wewe mzabibu wa kweli,nitakaa nawe
nawe,nawe,nitakaa nawe
wewe mzabibu wa uzima,nitakaa nawe
nawe,nawe,nitakaa nawe
wewe mzabibu wa kweli,nitakaa nawe
nawe,nawe,nitakaa nawe
wewe mtetei wa uhai,nitakaa nawe
nawe,nawe,nitakaa nawe
(instrumentals and vocals)
Part 3
wewe hunilaza,kwa majani mabichi
kwa maji matulivu,waniongoza
wewe hunilaza,kwa majani mabichi
kwa maji matulivu,waniongoza
umenipa uhai,umenipa uzima
nikiwa ndani yako,sitanyauka
umenipa uhai,umenipa uzima
nikiwa ndani yako,sitanyauka
Chorus
wewe mzabibu wa kweli,nitakaa nawe
nawe,nawe,nitakaa nawe
wewe mzabibu wa kweli,nitakaa nawe
nawe,nawe,nitakaa nawe
wewe maji ya uhai,nitakaa nawe
nawe,nawe,nitakaa nawe
wewe mtetei wa uhai,nitakaa nawe
nawe,nawe,nitakaa nawe
nawee,nawee,nitakaa nawe
mzabibu wa kweli wewe
maji ya uhai wewe
mkate wa uzima
nitakaa nawe
mzabibu wa kweli wewe
maji ya uhai wewe
mkate wa uzi,mkate wa uzi,mkate wa uzi(nitakaa nawewe)
mkate wa uzi,mkate wa uzi,mkate wa uzi,mkate wa uzi,mkate wa uzi
nitakaa nawewe
nawe
(instrumentals)