![Ubaya ft. Country Boy](https://source.boomplaymusic.com/group1/M0B/31/1E/rBEezl1dQaiAH6LhAACY8heVL4I701.jpg)
Ubaya ft. Country Boy Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2019
Lyrics
Ubaya ft. Country Boy - Mapanch BMB
...
(Mapanch BMB)
Usikunje ndita haya yanapita
vumilia my dear kidogo nikipatacho nilete
bado tu hujafika subira inahitajika
vumilia my dear kidogo nikipatacho nilete
kama me nikipata usiwe na shaka japo nimechacha
usije niache peke yangu me
nitadorora,utanidumaza na medulla ngoja police . waje na ving'ora hawaning'oi japo sina dollars, sina dollars eeh
Usiwe na ubaya
Usilete ubaya aah
Usiwe na ubaya×2
( country wizzy)
Eey staki kuwa mbali na we
siwezi kuishi mbali na we
sijamuona anaenifaa kama we
na watoto nizae na we
alafu Me staki kuwa Bachelor
mimi sio Bachelor eeh sina hela
je utanipenda me msela eeeh
Maana nayajua mapenzi
sitokufanya ushenzi
Great you drive me crazy mambo tapatapa
mtoto flan mnyamwezi yeeh bonge la babe
kama pesa ndo penzi sitokuacha aaaih
nishakuweka kwenye system
nishakuweka kwenye system babyy
usije ukanirusha stimu
usije ukanirusha stimu babyyy
Usiwe na ubaya
Usilete ubaya aah
Usiwe na ubaya ×2
ooh baby give me×3
shukaga na mimi chini chini
kulia kushoto gandana na me
timiza ndoto ukiwa na me