![Humo Humo](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/16/2faf07989b264fca88e452e0319ad357_464_464.jpg)
Humo Humo Lyrics
- Genre:Dancehall
- Year of Release:2022
Lyrics
Humo Humo - Mapanch BMB
...
umo umo umo umo umo umo
amna jipya nauza sura kakosa sponsor amechunda
umo umo
tafuta insta makiki Kiki
umo umo
bwana misosi nitoke vp
umo umo
wenzako wanaroga ukitaka utoke we pita
umo umo
tutatoana roho Yan Kama mziki ndo vita
umo umo
nyumba ya baba ameacha urithi tubanane
umo umo
ukinifunika nafuta si ufute na hii Kama upendi
umo umo
umo umo umo umo umo umo
makele staki Ila Kama unaweza kiumane
umo umo
dawa ya Moto Ni moto na iwe kwa kheri ama kwa Shari
umo umo
sharti kuinama si unakitaka Cha uvungu
umo umo
navyo ileta mama ukizidisha kidogo Ni wazungu
umo umo
mshahara wenyewe mdogo naomba nipunguzie mautundu
umo umo
baby kologa vyungu sipindui sigeuki
umo umo
naachana na kwako nione shika boko
umo umo
wenzako wanaroga ukitaka kutoka we pita
umo umo tutatoana roho Yan Kama mziki ndo vita
umo umo