![Kupendwa](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/09/54711371092343db9ef7e62332986d0e_464_464.jpg)
Kupendwa Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
Lyrics
Umenijaza mapenzi moyoni upo peke yako
nimefunzwa kwa utenzii kumpiga mwanamke ni mwiko
amewakata wengi
mi kwake ndio nafaidi
bora nipoteze mali
ila upendo wako ni zaidi
sijawai Kupendwa Kama hivi Maishani mjue
najiona peponi angali duniani nikiwa na yeye
ni mapenzi
haya eleziki
tukiachana mimi na wewe Nipo pale mniue
sasa Kupendwa gani huku mahaba gani hayaa
Huku Kupendwa Huku Kupendwa Huku Kupendwa
Huku Kupendwa nawee x2
Nimejituliza kwako si tunafana namuomba mungu atulinde usiku mchana juu ya Penzi lako nikama mtoto nakuita mama
wanipa mapenzi wanipa malezi ehe
zaidi sijawai Kupendwa Kama hivi Maishani mjue najiona peponi angali duniani nikiwa na yeye ni mapenzi haya heleziki tukiachana mimi na wewe Nipo pale mniue sasa Kupendwa gani huku mahaba gani hayaa
Huku Kupendwa Huku Kupendwa Huku Kupendwa
Huku Kupendwa nawee x2