![Waache Waongee](https://source.boomplaymusic.com/group2/M0B/70/D2/rBEeNF1b9HGAWZIOAACTX6MRhXk924.jpg)
Waache Waongee Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Waache Waongee - Madee
...
Waache waongee
Waache waongee
Waache waongee
Waache waongee
Siku ukipata chongoka bila sababu
Watafurahi wabongoke
Ila ikiwa wamechongoka kitu cha ajabu
Zitaanza longo longo(Hahahaha...)
Zitaanza lawama
Haongei na wana
Anauza unga, anatumia dumba
Amejiumba alafu anakunja kunja
Watu bwana, wanafanya
Nikifanya mimi wanasema natukana
Ona wanakwama, wanazama
Ni watoto wa kiume, haja ndogo wanachutama
Eeeh
Waache waongee(Watu bwana)
Waache waongee
Waache waongee(Hawana maana)
Waache waongee
Waache waongee(Watu bwana)
Waache waongee
Waache waongee(Hawana maana)
Waache waongee
Mwaka jana nilipandishwa kizimbani
Kelele zao nyingi nauza unga kitaani
Wakaja wazee, mamwere wakaniweka ndani
Wakataifisha mali, majumba na vya dhamani
Mungu Baba, nafanya ibada
Na nina roho nguma kama paka roho saba
Walinipa mada, akanga mimi sada
Na nikipatacho kidogo natoa misaada
Watu bwana, wanafanya
Nikifanya mimi wanasema natukana
Ona wanakwama, wanazama
Ni watoto wa kiume, haja ndogo wanachutama
Eeeh
Waache waongee(Watu bwana)
Waache waongee
Waache waongee(Hawana maana)
Waache waongee
Waache waongee(Watu bwana)
Waache waongee
Waache waongee(Hawana maana)
Waache waongee
Nikitaka kutoka, wanalenga kunishoot
Hawataki nivae moka, ninyonge tai nivae suti
Nishachoka kulea, zile mimba zao za chuki
Watu wanaongea, mbele ya Mungu ni mamluki
Ndio maana mimi(Waache waongee)
Milele najiami
If you feel me(Come on, come on)
Piga goti chini
Waache waongee...waache waongee