Pesa ft. Tunda Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Pesa ft. Tunda - Madee
...
TUNDA:aaaaah aaahhh ahhhhh ahahhhaa makochalii...
MADEE:hivi unapenda dini au unapenda kabila..
hivi unapenda wakalimu ama walio na hasira..
nani kakuumba wewe unafanya ndugu tugombane..
Wewe umesababisha TONYA TUNDA wachuniane,....
TUNDA:tofauti ya ukubwa na tofauti ya pesa ni tofauti ```kabisaaaaaahha,,,.....
ukiwa mkubwa na hauna pesa basi utadharaulika sanaaa aaaaah..
ndomana tunakuliliaaa.
ndomana tunakuangaikia pesaa
wengine wanakusujudia
nawengine kwamganga wanakuendea pesa....
ndomana tunakuliliaaa
ndomana tunakuangaikia pesaa
wengine wanakusujudia
nawengine kwamganga wanakuendea pesaa...
MADEE:Yaaa.. naamnini aliyekuumba tayari kashakufa..
maana kalileta janga kashindwa kuziba ufa..
pesa umeharalisha paka vitu vilivyopingwa..
pesa umesababisha mpaka TID kafungwa.. wajinga wanasema eti maji hufata mkondo, ni kauli ya kifara wajanja tuaona uwongo..
pesa hauna huruma pesa unaniweka nyuma najaribu kukufata mbele ya watu unaniskuma....
TUNDA:Ona kizazi kinavyotesekaaaaa kwaajili yako wewe pesaa..
Ona madada wanavyojiuzaaaa kwasababu yako wewee pesaa..
Pesa unabagua pakwendaaaa.
Pesa mbona TUNDA unamtengaaaa.. Pesa abdu bonge unampendaaa..
Na machizi maskani wanalalama unawatengaaa..
kweli pesa sabuni ya rohoo.. ukiipata kweli we ni sooo ooh.. kwenye pesa unauza rohoo.. ukiitafuta acha. ubishooo ooh...
ndomana tunakuliliaaa
ndomana tunakuangaikia pesaa
wengine wanakusujudia
nawengine kwamganga wanakuendea pesaa...
ndomana tunakuliliaaa
ndomana tunakuangaikia pesaa
wengine wanakusujudia
nawengine kwamganga wanakuendeaaaa.
pesa ipo juu yasheriaaa..
Ni mafukara ndo tuanumiaaa...
Yani haki yangu nadhurumiwa nafungwa. Mali zangu ndo zinachukuliwaaa...
Haki yangu nadhurumiwa nafungwa Mali zangu ndo zinachukuliwaaa...
MADEE:pesa umesababisha ally zungu kafariki...
Hospitali bila hela we utangoja kwenye kiti..
Naona magari mengi lodi da na Sina hata moja nishasahau mi Star Kila siku MADEE ngojaaa..
pesa umesababisha ndugu tunabaguana Umefanya unachotaka mi napendo tukaachaa.
Tatizo lako bwana unabana kwa vijana... labda nizimeze kete ama usiku uwe mchanaaa..
TUNDA:pesa inafananishwa nanini naamini pesa juu zaidi ya madinii..
Ukiwa napesa utaanzisha dini naukisema wee mungu watakuaminiiii..
ndomana tunakuliliaaa
ndomana tunakuangaikia pesaa
wengine wanakusujudia
nawengine kwamganga wanakuendea pesaa
ndomana tunakuliliaaa
ndomana tunakuangaikia pesaa
wengine wanakusujudia
nawengine kwamganga wanakuendeaaaa...
aaaah aaahhh pesaa ahhhaaah aahhhaa ahhhaaah aahh wewe pesaa ahhhaaah aaaaah mbona unatutesaaa aaah Eeh eeeheeh eeeehheeeeh aahhaaa mmmmh..... By doctor zemba.